Jay Melody – Huba Hulu Official Video
#Jaymelody #Hubahulu Mung’unya au tafuna kitu mororo Yakheeee saa sita napata supu kongoro Mama Ijumaaa biriani ya mama cholo Busati mkeka sio kila siku godoro Ai wewe nimekwisha Ni mapenzi yamenishika Ai nyinyi nimekwisha Maumivu hasta la vista Okeeeeeeeeeeeeh bumba 🎶🎶🎶 Aiiiiiiiiii 🎶🎶🎶 Kama kaupala ni upala Sa nasafisha makutu Na ikiwa vita fujo vurugu … Read more