ALBUM ya MBOSSO Definition Of Love Yafika New York Times Square MAREKANI
Album ya Mbosso wa WCB Definition Of Love #DOL imeonekana kwenye Billboard za New York Times Square nchini Marekani,Album hiyo ambayo pia wimbo wa Baikoko ft Diamond Platnumz unapatikana imekuwa miongoni mwa Album zilizopitia changamoto baada ya kuingia sokoni siku chache kabla ya Kifo cha Hayati Dkt John Pombe Magufuli wa Tanzania #Chidmaburudani #Cmtv This … Read more